Dear All,
Kwa kweli inafurahisha sana, kwani ile target yetu ya kupata transactions 1000 kwa mwezi by 31st December 2014 ambayo tuliiweka huko nyuma kwa sasa tayari tushaifikia.
In fact, tuliifikia tokea mwezi wa October tulipopata transactions 1045, lakini tukadhania labda ile ilikuwa ni fluke tu kutokana na Eid ya Mfungo Tatu na kwahivyo tukaona bora tungojee mpaka mwisho wa mwezi wa November kabla hatujatangaza rasmi kuwa target tumeifikia.
Transactions za November tumezipokea leo kutoka kwa WorldRemit na nambari ni 1026 na kwa sasa tunahakika kuwa kila mwezi hatutoshuka tena chini ya transctions 1000.
Mafanikio haya yasingelipatikana kwa jitihada ya mtu mmoja peke yake, bali kwa sote pamoja kwa kuitumia Benki yetu ya Watu wa Zanzibar na kwahivyo tujipeni hongera wenyewe kwa kupiga hatua katika kuisaidia nchi yetu kupata pesa za kigeni ambazo zinasaidia kununua madawa kwa wagonjwa wetu na vitabu vya kusomea kwa watoto wetu.
Transactions za miezi mitatu iliyopita zilikuwa kama hivi:
Total transactions for Sept -- 806
Total transactions for Oct -- 1045
Total transactions for Nov -- 1026
Canada
Sept -- 118
Oct -- 161
Nov -- 129
UK
Sept -- 90
Oct -- 132
Nov -- 124
Australia
Sept -- 98
Oct -- 100
Nov -- 98
Sweden
Sept -- 88
Oct -- 131
Nov -- 134
Vita vya kutaka kujikomboa kiuchumi nyumbani vinaendelea na next target yetu ni transactions 1,500 kwa mwezi by June 30, 2015 (Inshaa Allah).
N.B.
Kupeleka pesa Tanzania kwa bei nafuu kupitia PBZ Ltd tembelea hapa<www.pbzltd.com>
No comments :
Post a Comment