Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, December 1, 2014

Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Azindua Bodi ya PBZ.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Juma Amour, akitowa maelezo ya Mafanikio ya PBZ kwa huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, wakati wa Uzinduzi wa Bodi Mpya ya PBZ iliozinduliwa katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)Mhe, Abrahaman Mwinyi jumbe, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo, baada ya kuchaguliwa tena kuongoza bodi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.kulia Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee. 
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee. akihutubia Wajumbe wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar na Maofisa wa PBZ wakati wa uzinduzi wa Bodi Mpya uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Wajumbe wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akizunduac Bodi hiyo baada ya kuteuliwa tena hivi karibuni.
Wakurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi Zanzibar. 
Wakuu wa PBZ wakifuatilia uzinduzi wa Bodi yao Benki yao na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, uliofanywa katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi zanzibar. 
Wajumbe wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akizunduac Bodi hiyo baada ya kuteuliwa tena hivi karibuni.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)Mhe. Abdurahaman Mwinyijumbe, vitendea kazi vya Bodi baada ya kuizindua rasmin Bodi hiyo katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi zanzibar.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)Ndg. Abdallah Abass Omar, vitendea kazi vya Bodi baada ya kuizindua rasmin Bodi hiyo katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi zanzibar.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)Ndg. Juma A Hafidh, vitendea kazi vya Bodi baada ya kuizindua rasmin Bodi hiyo katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi zanzibar.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Profesa Mohammed H Warsame vitendea kazi vya Bodi baada ya kuizindua rasmin Bodi hiyo katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi zanzibar.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)Ndg. Abdulwakil H Hafidh,vitendea kazi vya Bodi baada ya kuizindua rasmin Bodi hiyo katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi zanzibar.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), vitendea kazi vya Bodi baada ya kuizindua rasmin Bodi hiyo katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi zanzibar.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Katibu wa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Bi Saadiye H Suleiman,vitendea kazi vya Bodi baada ya kuizindua rasmin Bodi hiyo katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi zanzibar.

Waheshimiwa wakiitikia dua baada ya hafla ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya Benki ya Watu wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Malindi Zanzibar.

                   Wakurugenzi wa PBZ wakiitikia dua baada ya uzinduzi wa Bodi hiyo.

Wajumbe wa Bodi wakiitikia dua iliokuwa ikisomwa na Dk Hafidh baada ya uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanywa na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi Mpya ya Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ baada ya kuizinduwa katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar, 
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akiwa katika picha ya pamoja na Bodi na Wakurugenzi wa PBZ baada ya uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment