Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, December 14, 2014

Ziara ya Katibu Mkuu wa CUF, Kangagani, Pemba!

  KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: maalim Seif Sharif Hamad akiweka jiwe la msingi la tawi la Cossovo la chama hicho, shehia ya Kangagani jimbo la Ole wilaya ya wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba).

  KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: maalim Seif Sharif Hamad akifungua tawi la baraza ya UKAWA ‘UKAWA CENTER’ shehia ya Kangagani jimbo la Ole wilaya ya wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

  MWANACHAMA mpya wa CUF ambae hakupatikana jina lake, akiwa amebeba bango linalosisitiza msimamo wa chama hicho kutaka serikali tatu, ambapo mwanachama huyo pamoja na wengine 555, walikabidhi kadi za kujiunga na chama hicho na Katibu mkuu Mhe: maalim Seif Sharif Hamad, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kangagani Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya viongozi wa CUF wakimsikiliza Katibu mkuu wa chama hicho Mhe: maalim Seif Sharif Hamad, wakati akiwahutubia wafuasi wa chama hicho, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kangagani jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba).

  KATIBU Mkuu wa CUF Mhe : maalim Seif Sharif Hamad, akimkabidhi kadi mmoja wa wanachama 555 wapya wa chama hicho, kabla ya kuwahutubia wanachama wake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kangagani jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

  KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: maalim Seif Sharif Hamad akionyesha kadi na bendera ya cha cha ADC aliokabidhiwa na waliokuwa wanachama wa chama hicho jimbo la Kangagani, ambapo wamekihama chama hicho na kujiunga naCUF (picha na Haji Nassor, Pemba).


  KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa chama hicho, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kangagani jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba jana (picha na Haji Nassor, Pemba).

KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa chama hicho, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kangagani jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba jana (picha na Haji Nassor, Pemba).
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment