Hongera Mheshimiwa wa awamu ya nne, kwani Ari zaidi,Nguvu zaidi na Kasi zaidi tumeiona.Kwani Ari zaidi,Nguvu zaidi na Kasi zaidi tumeishuhudia katika Ufisadi (EPA,Richmond,Escrow),Kunyofoa maoni ya watanzania katika Rasimu ya Katiba, Wezi wa Mali za Umma kuwekwa viporo, Uhuru wa vyombo vya habari kuminywa,Migomo ya wafanyakazi katika kada mbalimbali, Wanafunzi wengi wa elimu ya juu kunyimwa mikopo, Shule kukosa madawati, Ugumu wa maisha kuongezeka, Kiongozi mkuu wa nchi kuhusishwa na kashfa za ubadhirifu wa mali za umma, Kuminywa kwa demokrasia nk.
Heko kwako Mheshimiwa wa awamu ya nne..
No comments :
Post a Comment