Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, January 9, 2015

Dk Shein afungua kiwanja cha ZSSF Uhuru Kariakoo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF Abdulwakil Haji Hafidh alipowasili kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo Mjini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa kiwanja hicho leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watotokiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF -Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo wakati akipanda mti aina ya Muembe katika ufunguzi wa kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango Uwekezaji na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal wakati alipokua akiangalia michoro ya kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja baada ya kukifungua rasmi leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa pili kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akifuatana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi (kulia) na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee (kushoto) wakati alipotembelea kuangalia pembea katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 

Meneja Mipango Uwekezaji na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal (kushoto) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) wakati alipotembelea kuangalia pembea katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi na (wapili kushoto) Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee,[Picha na Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango Uwekezaji na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal (katikati) wakati alipotembelea pembea mbali mbali zilizomo katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wengine ni Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee (kushoto) na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi (wa tatu kushoto), [Picha na Ikulu.] 

Baadhi ya Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF -Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja wakimsikiliza Rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi huo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Msoma Utenzi Amina Mohamed Waziri wakati wa ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment