The late King Abdullah Bin Abdulaziz of Saudi Arabia!
THIS IS LIKE ONE OF THE STORIES OF ALFU-ULEILA-ULEILA!
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Jamani, Rais wetu Mhe Kikwete nae pia alikuenda kutoa mkono wa rambirambi huko Saudia, hivyo mkono wenyewe kenda kuzipa hichi picha tatu? Makubwa haya!
ReplyDeleteChezea hela ya mafuta wewe? Mashehe hawana muda kupokea mikono ya vikaragosi!
Duuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!
ReplyDeleteDunia imekwisha. Hii sasa dharau au pesa nyingi?
Kuishi kwingi kuona mengi kwweli!