Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji Viongozi wakati alipowasili leo katika uzinduzi wa Barabara ya Njia nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha naIkulu.]
Wananchi na wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wakiwa katikasherehe za ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya ya Kati Unguja baada ya kufunguliwa na Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja zilizofanyika leo kijiji cha Umbuji ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu]
Msoma Risala Farida Rajab akisoma risala hiyo mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,
[Picha na Ikulu.]

No comments :
Post a Comment