Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, February 9, 2015

NYUMBA/APARTMENT INAKODISHWA, MWANAKWEREKWE, ZANZIBAR, NJIANI KUELEKEA MAKUNDUCHI!

RENT IS TShs 300,000/- PER MONTH!

PHONE #:0777.855.666 (Ojukuu) 
or 0774.229.495 (Modi Modi)
or 0778.767.070 (Hassan / Ndassi)


APARTMENT INAKODISHWA MWANAKWEREKWE, ZANZIBAR AMBAYO 
IPO @ 2ND FLOOR LEVEL NA NI
YENYE VYUMBA 4 VIKUBWA. 
FLOOR YOTE IMEWEKWA TILES.

VYUMBA VIWILI NI SELF-CONTAINED. 
NYUMBA INAYO VYOO VITANO NA JIKO KUBWA. 

NYUMBA NI YENYE TWO UNDERGROUND WATER TANKS OF 12,000 GALLONS EACH, WITH TWO SEPARATE PUMPS ZINAZOPELEKA MAJI KWENYE OVERHEAD WATER TANK OF 3,000 GALLONS AND THEREFORE YOUR TAPS WOULD NEVER RUN DRY.

ZIPO TWO TERRACES SIO CHINI YA 500 SQ. FT KILA MOJA, ADJOINING THE LIVING ROOM AND THE KITCHEN, SUITABLE FOR HARUSI PARTIES.

NYUMBA IPO OPPOSITE NA MWANAKWEREKWE MARKET.
BEI NI NAFUU SANA TENA YA KINDUGU!
NAYO NI TShs 600,000/ PER MONTH.
INAWEZA KUTUMIKA KAMA OFFICES 
AU SHULE PIA.

SERIOUS ENQUIRERS CALL: 

PHONE #:0777.855.666 (Ojukuu) 
or 0774.229.495 (Modi Modi)
or 0778.767.070 (Hassan / Ndassi)


PAINTING WORK GOING ON DURING CONSTRUCTION.

 THE HOUSE AS SEEN DURING THE LAST STAGES OF CONSTRUCTION.


PART OF THE 23 SHOPS AROUND THE HOUSE. 
THESE ARE FACING THE MOSQUE.

STRONG GRILLS INSTALLED AT ALL BALCONIES.

OVERHEAD WATER TANK OF CAPACITY 3,000 GALLONS

SHOPPING CORRIDORS ZIKIMALIZWA.

MSIKITI UNAONG'ARA TAA UPO NYUMA YA NYUMBA
NA UKIPANGA HAPA UTAKUWA HUNA SABABU YA 
KUCHELEWA KUSALI KWA WAKATI!

MWANAKWEREKWE COMPUTER TRAINING CENTRE 
INAONEKANA NYUMA

MAFUNDI WAKIWEKA TUNDU KWENYE MILANGO YA DUKA 
ILI MAFENI NDANI YA DUKA YASIPATE KUTU.

MADUKA YAKIWA TAYARI KUKODIWA.

NDASSI STATIONERY LIPO NYUMA YA NYUMBA.

MAFUNDI WANAMALIZIAMALIZIA KAZI ZAO.


VYUMBA VYOTE NI VIKUBWA NA VINAWEZA KUTUMIKA KAMA OFISI PIA.


NYUMBA INAELEKEZANA NA MARIKITI YA MWANAKWEREKWE.
HUNAHAJA YA KUENDA MARIKITI. WEWE ACHA PESA TU NYUMBANI NA TOKA ZAKO. UKIRUDI MSOSI TAYARI JUU YA MEZA!


Chanzo: Details and pics as supplied by Kwarara General Businesses (KGB).

10 comments :

 1. Vipi nyumba ina harufu proof maana sokoni kwerekwe kumekuchaa.

  ReplyDelete
 2. tUPE IDEA YA BEI YA HIO FLAT BASI TUJIPANGE KUJA KUKAGUA.

  ReplyDelete
 3. Ukiwa ni mwenye suala lolote tafadhali waulize wa husika kupitia simu zao. Zanzibar Ni Kwetu haiwezi kukujibu kwa niaba ya mkodishaji / wakodishaji. Sisi tumeutoa ujumbe tu kwa faida yenu wananchi.
  Kila la kheri / ZNK Admin.

  ReplyDelete
 4. Replies
  1. habari zenu....jamani nataka nyumba inayokodishwa ilokua bei nafuu


   Delete
 5. Mpooooooooo!!! Kwani wewe huoni namba ya simu hapo juu ukapiga? Basi sasa inakodishwa tena, kwani mpangaji wa sasa keshamaliza muda wake na bei ni 300,000/- kwa mwezi. Wahi kwa kupiga simu ya hapa juu kwa haraka!!!

  ReplyDelete
 6. natafuta nyumba ya kupanga unguja

  ReplyDelete
 7. Natafuta gari harrie, alphard,ist, sacio na town hice tfdhl kwa bei nzuri

  ReplyDelete