Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 21, 2015

KINANA AWA SHUJAA ARUSHA MJINI KUHUTUBIA WANANCHI KESHO KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu hoja mbali mbali zilizoletwa na kamati ya soko la Kilombero ikiwa pamoja na kupandishiwa kodi bila utaratibu maalum.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Arusha kwenye soko la Kilombero ambapo walisalimu wananchi waliojitokeza kwa wingi.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa chama na serikali wakila chakula kwa Mama Lishe wa soko la Kilombero,jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wa wananchi baada ya kuzindua shina la kikundi cha wajasiriamali Oysterbay Unga Ltd.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakinywa kahawa mara baada ya kumaliza kuwasalimu na kuzindua shina la wakereketwa wajasiriamali Oysterbay, Unga ltd, Arusha.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na viongozi wengine wa CCM kuelekea kwenye soko la Kilombero,jijini Arusha.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wanananchi wakati akiwasili kwenye soko la Kilombero lililopo jijini Arusha.

Wananchi na wafanya biashara wa soko la Kilombero ,jijini Arusha wakimpa mikono Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

No comments :

Post a Comment