Rais wa
Zacadia (Zanzibar-Canadian Diaspora Association) Shk Omar Ali Said amerejea nchini
Canada baada ya muda mrefu kuwepo Zanzibar katika shughuli za Association na
jana tarehe 11 March, 2015 alikutana na Board of Trustees pamoja na Management
Team ya Zacadia ili kuwajulisha wahusika juu ya yale aliyoyatimiza katika safari yake.
Mwenyekiti wa Board ya Trustees ya Zacadia Shk Omar Said ambae majuzi
No comments :
Post a Comment