Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, June 2, 2015

Balozi Karume atangaza nia kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano





Balozi Ali Karume akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Nia hiyo aliitangaza katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya kati uliopo Dunga Zanzibar.
 Picha na Haroub Hussein




 Balozi Ali Karume akisalimiana na makada wa chamacha Mapinduzi mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya  Halmashauri  Wilaya ya  kati Dunga Zanzibar kwa ajili ya kutangaza nia ya kutaka kugombania nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Baadhi ya makada walio shirika katika kumuunga mkoko mgombea   Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzaniakatika Ofisi ya  Halmashauri  Wilaya ya  kati Dunga  Zanzibar.
Balozi Ali Karume akiwahutubia wananchi waliofika hapo ili kujuwa lengo lake la kugombea nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania huko Ofisi ya Halmashauri Wilaya ya kati Dunga Zanzibar.
PICHA NA MIZA OTHMAN -HABARI MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :

Post a Comment