Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 26, 2015

Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mkoani Mwanza!

Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa Mkoani Mwanza yalikofanyika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mkoani Mwanza leo
Askari ya Jeshi la Wananchi Wakipiga tarumbeta kuashiria kutoa heshima ya Siku ya Mashujaa katika Viwanja vya Mwanza leo 
 Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania wakipiga risasi kuwakumbuka Mashujaa wa Tanzania wakati wa kuadhimisha Siku ya Mashujaa Tanzania.

 Askari ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakitowa heshima kuadhimisha siku ya Mashujaa Mkoani Mwanza leo.
Askofu Sabinius Issaya akiongoza sala ya kuwaombea Mashujaa wa Tanzania wakati wa Siku ya Mashujaa Tanzania yalioadhimishwa Mkoani Mwanza Kitaifa yameadhimishwa Jijijini Dar-es- Salaam na Rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya Mnazi Mmoja
 Shekh akisoma dua kwa niaba ya Shekh wa Mkoa wa Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yalioadhimisha katika viwanja vya Mwanza leo.
Mkuu wa Kikosi cha JWTZ akitowa maelezo kwa Askari wake jinsi ya kukabidhi Zana za Kivita kwa Wahusika kuweka katika mnara wa Mashujaa Mwanza.
Base Kamanda wa JWTZ akipokea Silaha ya Jadi kuweka katika mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa Mkoani Mwanza leo ikiwa ni Siku ya Mashujaa wa Tanzania.
  Kanali Kivamba ambaye ni Base Kamanda akiweka Sime katika Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa Tanzania 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akiweka Mkuki katika Mnara wa Mashujaa Mkoani Mwanza ikiwa ni Siku ya Maadhimisho ya Mashujaa Tanzania.
 Mzee Ibrahim Sadala mmoja wa Wazee walioshiriki katika Vita vya Pili vya Dunia akiweka Shoka kwa niaba wa Wazee Wanajeshi walioshiriki wakupigana vita Kuu ya Duniani  
Viongozi wa Dini Mkoani Mwanza wakishiriki katika kuadhimisha Siku ya Mashujaa Tanzania yalioadhimishwa kimkoa mwanza.
MDAU ATLEY KUNI KATIKA SIKU YA MASHUJAA HAPA KATIKA PICHA YA ENEO LA UKUMBUSHO.

No comments :

Post a Comment