Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 26, 2015

Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Tanzania Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na Usalama alipowasili viwanja vya Mmazi Mmoja          Dar es salaam leo Julai 25,2015 kwa ajili ya kuhudhuria kilele cha siku ya Mashujaa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal kulia, akiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali kwenye maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyoadhimishwa leo Julai 25, 2015 katika viwanja vya Mmazi Mmoja Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka ngao katika Mnara wa kumbukumbu kwenye maadhimisho ya siku ya ya Mashujaa iliyoadhimishwa leo Julai 25, 2015 viwanja vya Mmazi Mmoja Dar es salaam leo.






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam baada ya kukamilika kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa leo Julai 25,2015.(Picha na OMR)

No comments :

Post a Comment