dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 2, 2015

Mama Mwanamwema Ajumuika na Wananchi wa Wilaya ya Chakechake Pemba Katika Futari Maalum Ikulu Chake.

 MKE wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akijumuika katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein, kwa Wananchi wa Wilaya ya ChakeChake Pemba iulofanyika katika viwanja vya Ikulu Chake , kulia Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mhe Hanuna Ibrahim Masoud, wakujumuika katika futari hiyo ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Shein.
WANANCHI wa Wilaya ya Chakechake Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein, kwa wananchi hao katika viwanja vya Ikulu Chake Chake. 
 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein, katika viwanja vya Ikulu Chakechake Pemba.
 WANANCHI wa Wilaya ya Chakechake Pemba wakiitikia dua baada ya kumalizika kupata futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Chakechake Pemba.
 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiagana na Wananchi wa Wilaya ya Chakechake waliohudhuria hafla ya futari maalumu ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, katika viwanja vya Ikulu Chakechake.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiagana na Wananchi wa Wilaya ya Chakechake waliohudhuria hafla ya futari maalumu ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, katika viwanja vya Ikulu Chakechake.

No comments :

Post a Comment