dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 2, 2015

PBZ Yafutarisha Wanafamilia wa Wafanyakazi wa PBZ na Wateja Wao.


 Kaimu Mkurugenzi Masoko wa PBZ Ndg Seif Suleiman akishiriki katika hafla ya futari ya Wanafamilia ilioandaliwa kwa ajili ya Familia na Wateja wa Benki hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini 
  Maofisa wa PBZ wakijumuika na familia zao katika futari maalum ilioandaliwa kwa ajili ya Familia na Wateja wa PBZ katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini 
 Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar na Familia zao wakipata futari maalum ilioandaliwa na PBZ kwa ajili ya Wanafamilia iliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
 Mkurugenzi Huduma za Kibenki Said M. Said akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya PBZ Juma Amour (hayupo pichani) azungumze na walikwa.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya watu wa Zanzibar PBZ Juma Amour akizungumza na wanafamilia wa Benki hiyo na wageni walikwa waliofika kupata futari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki yao kwenye ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini nnje kidogo ya Mji wa Zanzibar.


No comments :

Post a Comment