dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, July 1, 2015

Shein submits nomination form for Isles presidency

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akirejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo ,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu maalum wakati wa kurejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo ,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu maalum wakati wa kurejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo akiwa na familia yake waliomsindikiza,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipeana mkono na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idii baada ya kurejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoka nje ya Jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar mara aliporejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Viongozi mbali mbali waliomsindikiza nje ya Jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja   mara aliporejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake  CCM  katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

PRESIDENT Ali Mohamed Shein yesterday submitted his presidential nomination form, seeking second term in office on Chama Cha Mapinduzi (CCM) ticket.

He pledged to remain loyal to the party and work hard for the development of the country and acting tough against any attempt of disrupting peace in the Islands.

Speaking after submitting his form at the party’s office, Kisiwandui in Zanzibar, Dr Shein promised to further transform the Islands’ economy if elected.

“I thank all who turnedup as my sponsors for the second term bid. I hope my party will endorse me. But, I also call upon my competitors; let us practise mature democracy. Government of National Unity (GNU) should not be an excuse to violate laws,” Dr Shein said.

Dr Shein, as it turns out, could be the only person to apply for CCM Zanzibar presidential ticket. According to party tradition, an incumbent president is given the opportunity to complete his second and final term.

The CCM Deputy Secretary General - Zanzibar, Mr Vuai Ali Vuai, who received the form, commended Dr Shein for returning it in time and soliciting 450 signatures of sponsors surpassing the required number of 250 from three regions of Zanzibar, including one in Pemba Islands.


/Story by Daily News. Photos by others

No comments :

Post a Comment