
Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, wakimfariji mjane wa marehemu Diwani wa Kata ya Yombo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Iddi Mazongera, aliyefariki dunia juzi na kuzikwa jana katika makaburi ya Kichangani, Bagamoyo. Katikati ni mke wa Rais, Mama Salma. PICHA: IKULU
No comments :
Post a Comment