dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 24, 2015

Lowassa alivyokuwa akikampeni Ruaha!

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiongea na wananchi wa Ruaha katika viwanja vya Tem K2 Ruaha leo Ijumaa 23/10/2015
 Mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya Mikumi Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa pamoja na kuzungumza na wananchi waliofika katika viwanja vya Tem k2, leo Ijumaa 23 Oktoba 2015.

Wananchi wakishangilia katika mkutano huo
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa pamoja na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha, leo Ijumaa 23/10/2015.

No comments :

Post a Comment