Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, October 26, 2015

Lowassa aongea na waandishi wa habari!




MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA MGOMBEA URAIS TIKETI YA CHADEMA NA KUUNGWA MKONO NA UKAWA

Nimewaita kueleza masikitiko yetu mawili Haswa katika upande wa jeshi la polisi - EL

Tuna vijana wetu wanaofanya kazi za IT kwa kujitolea maeneo ya kinondoni na kijitonyama jumla ya vituo vitatu - EL

Hawa vijana wanafanya uzalendo,kushiriki katika uchaguzi wa nchi yao,na kujenga historia moya ya nchi yao,tendo la kuwakamata si la haki kabisa

Wamewavamia na kuwakamata kwa kosa la human trafficing ambalo ni kosa kubwa na halifanani na kazi wanazofanya - EL

Nimeona taarifa zao za matokeo ya kura wameanza kuonyesha watu taratibu zinazompendelea magufuli - EL

Ningependa kuwashauri tume watoe matokeo yote kwa pamoja Sio kufanya kama hivi wanavyotoa kidogo kidogo yanayoongelea upande wa pili kushinda,wanafanya maandalizi ya kisaikolojia ( psychological preparedness) kudhoofisha morali ya wafuasi wa UKAWA ambayo si haki

Qn
Give us your view So far on the tallying

Ans
so far so good 50/50
Ila napenda kutoa pongezi kwa wananchi waliojitokeza kwa wingi kupia kura,Wamekua watulivu na kuheshimu sheria na kanuni.

Qn
You said the main tallying station has been raded.Do you have an alternative ?

Ans
We have no alternative ,We have been handcaped They have been so unfair I wish i could charge them in ICC

SWALI
Chadema ina mpango gani kuwatoa hao waliokamatwa?

JIBU
Jumla yao walikua 191 wanajumlisha kura.Sisi hatuna hatua stahiki zaidi ya kuongea na nyie waandishi wa habari mpeleke taarifa hizi duniani. Kwamba huu ni uonevu mkubwa


No comments :

Post a Comment