MUHIMBILI SASA KAZI TU!
Tayari agizo la Magufuli limetekelezeka kwa kasi na kiwango, ile machine ya Muhimbili yenye utata ilimfukuzisha Mkurugenzi Muhimbili, imeanza kufanya kazi baada ya mafundi kutoka kampuni ya Philips kuifanyia matengenezo.Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment