
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Kazi na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akitoa maagizo ya utekelezaji kwa Kamati za maafa katika ngazi zote nchini kuhusu tahadhari ya uwezekano wa kuwepo kwa mvua za El- Nino tarehe 22 Desemba,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Huu ni utoto. Mvua tarehe 22 Dec na jana ndio bomoabomoa inaanza. Walikuwa wapi mwaka mzima? Serikali yetu has no foresight. Mambo yetu ni kuvamiavamia tu na sisi wanyonge ndio victims kila siku!
ReplyDelete