Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, January 22, 2016

Breaking News Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yatangaza Tarehe ya Marudio ya Uchaguzi Zanzibar.




Image result for jecha salum jecha

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salum Jecha atangaza Tarehe ya Marudio ya Uchaguzi wa Zanzibar utafanyika tarehe 20-3-2016. siku ya jumapili.
Nakusema wagombea watakuwa walewale waliogombea kwa Nafasi ya Urais wa Zanzibar, Wawakilishi na Madiwani. Akitangaza taarifa hiyo leo huko Afisini kwake maisara Zanzibar.
  



No comments :

Post a Comment