Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, January 24, 2016

HAHAHAHAHAHA!!! KWA DISCOUNT HII HAKUNA ATAKAE NUNUA EMBE TANO KWA MPIGO!

Msimu wa Embe ukiwa Umetia Fora Zenj Mwaka Huu.

Mjasiriamali wa matunda aina ya embe katika mji wa Zanzibar akijitayarisha kuweka sawa bidhaa hizo ili kuweza kupanga fungu moja la embe dodo huuzwa kwa shilingi 1000/= kwa embe tatu na embe tano huuzwa kwa shilingI 2000/= katika maeneo ya Zanzibar.

No comments :

Post a Comment