Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, January 6, 2016

MAGUFULI AKERA WENGI


Tabia iliyojitokeza ya kufukuzafukuza watumishi wa umma imewakatisha tamaa wananchi wengi hasa wale wa hali ya chini kwani wengi wanaona ni kama rais anataka tu kuweka watu wake ili kuwalipa fadhila huku akiwakomoa ambao hawakumuunga mkono ktk harakati zake za kusaka urais.

Malalamiko hayo yanatokana na hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu wengi wao wanaona ni heri angewasaidia bei za vyakula umeme maji mavazi nauli mafuta vifaa vya ujenzi pango la nyumba na kadhalika zishuke maradufu wao wanaona ingewafaa zaidi hayo mambo ya kufukuzana ni magumu kueleweka kwa mtu anaekula mlo mmoja kwa siku.

Namshauri rais awasikilize ashuke huku chini.


No comments :

Post a Comment