Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, January 6, 2016

Mke wa Balozi Mohammed Faki azikwa!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaff wa Zanzibar Dk Amani Karume na Wananchi Mbalimbali Wakishiriki katika Mazishi ya mke wa Balozi Mohammed Faki marehemu Shamim Hussein Ibrahim Zanzibar.






















Wananchi wakihudhuria msiba wa nmarehemu Shamim yaliofanyika nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad wakiwa nje ya mskiti mbweni baada ya kumalizika sala ya kumsalia marehemu Shamim Hussein. wakizungumza.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwaongoza Wanananchi katika mazishi ya marehemu Shamim Hussein katika makaburi ya Chukwani Zanzibar.
Ndugu na Jamaa wa Marehemu wakishiriki katika mazishi hayo katika makaburi ya Chukwani Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wakijumuika katika mazishi ya Marehemu Shamim Hussein Ibrahim yaliofanyika katika makaburi ya Chukwani Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwka mchanga katika kaburi 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwka mchanga katika kaburi 
Waziri Haroun Suleiman akiweka mchanga katika kaburi baada ya kuulaza mwili wa marehemu katika kaburi kwa ajili ya mazishi yake yaliofanyika katika Kijiji chao Chukwani Zanzibar.
Ndugu na Jamaa wa marehemu wakishiriki katika mazishi hayo .
Ustadh akimsoma  dua marehemu Shamim baada ya mashizi hayo katika makaburi ya Chukwani Zanzibar 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Naibu Mufti wa Zanzibar akisoma dua wakati wa mazishi hayo katika makaburi ya Chukwani Zanzibar  
Wananchi na Waumini wa Kiislamu wakiitikia dua wakati wa mazishi ya marehemu Shamim Hussein Ibrahim yaliofanyika katika makaburi ya Chukwani Zanzibar nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

1 comment :

  1. wale waliochopea kwenye kudhulumu haki za watu basi wajue na wao iko siku watatiwa kwenye gari hiyo na waandae majibu wazuri ya kumjibu mola wao siku ya hukumu.
    wasijione wanavaa makoti na kanzu sasa hizi wakajiona wataishi milele wataondoka na kuiacha zanzibar.

    ReplyDelete