zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, February 1, 2016

NAPE AIPA BIG UP BLOG YA VIJIMAMBO KWA KUTIMIZA MIAKA 6



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye leo ametuma salaam zapongezi kwa blog ya Vijimambo ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake akizungumza na mwandishi wa habari hii Mhe. Nape alisema

"Napenda kuipongeza blog ya Vijimambo kwa kutimiza miaka 6.

Blog ya Vijimambo imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa habari za uhakika na kwa wakati.

Pia imekuwa daraja zuri kati ya nchi yetu na Watanzania na wapenda Kiswahili duniani.

Imekuwa na mchango mkubwa katika kupeleka utamaduni wa kitanzania nje ya nchi yetu!

Nawatakia kila la heri na mafanikio mema".

No comments :

Post a Comment