Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Sunday, April 10, 2016

KWETU FASHION KAZINI!

KWETU FASHION (not connected to Zanzibar Ni Kwetu) YAFANYA ONESHO KWENYE USIKU WA AFRIKA CHUO KIKUU CHA GEORGE MASON, VIRGINIA

Missy Temeke (kati) mbunifu wa mitindo ya Kwetu Fashion akipata picha na model wake kwenye usiku wa Afrika uliofanyika chuo kikuu cha George Mason Virginia nchini Marekani siku ya Ijumaa April 8, 2016.
 
Walimbwende wakiwa katika picha ya pamoja.
Picha ya pamoja kabla ya onesho.
/VIJIMAMBO

No comments :

Post a Comment