dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, April 14, 2016

Makabidhiano ya Ofisi ya Wizara ya Katiba,Sheria,Utumishiwa Umma na Utawala Bora

 Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji Makame Mwadini  akikabidhiana Ofisi na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishiwa Umma na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman leo katika ukumbi wa Jengo la Wizara ya Utumishi wa Umma Shangani  Mji Mkongwe wa Zanzibar, baada ya uteuzi uliofanywa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji Makame Mwadini akitoa shukurani kwa wafanyakazi wa Wizara ya Katiba,Sheria,Utumishiwa Umma na Utawala Bora  wakati wa makabidhiano ya Ofisi na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman leo katika ukumbi wa Jengo la Wizara ya Utumishi wa Umma Shangani  Mji Mkongwe wa Zanzibar, baada ya uteuzi uliofanywa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment