dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, April 2, 2016

Wakaazi wa Wilaya ya Chamwino wahofu kuzaliwa mtoto wa ajabu.

Hofu imezuka kwa wakaazi wa kijiji cha Manchali, wilayani Chamwino mkoani Dodoma baada ya mama mmoja aliyetambulika kwa jina la Joyce Elias kujifungua mtoto wa ajabu akiwa na uzito usio wa kawaida wa kilo 4 na gramu 900 huku kichwa chake kikiwa ni kidogo chenye uwazi sehemu ya utosini na kuitaka serikali kutuma wataalam wa afya kuchunguza tatizo hilo wakidai linafanana na viashiria vya ugonjwa wa homa ya zika.

No comments :

Post a Comment