dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, June 25, 2016

JUMUIYA YA MUZDALIFAT YATOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.

 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi katikati akiwa na Muakilishi wa Shirika la Helping Hand Muhammad Irfan Bashir kushoto wakimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk,Msafiri Marijani moja kati ya Vifaa vilivyotolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Baadhi ya Vifaa mbalimbali vya Hospitali ambavyo vimetolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani vikiteremshwa katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi akitoa nasaha kwa mgeni rasmi na Waalikwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Muakilishi wa Shirika la Halping Hand Muhammad Irfan Bashir akitoa hotuba katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk,Msafiri Marijani akitoa nasaha kwa niaba ya Naibu Waziri wa Afya Baada ya kupokea Msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.

No comments :

Post a Comment