Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 31, 2016

HH SAYYID JAMSHID BIN ABDULLAH BIN KHALIFA BIN HAROUB AL BUSAID BADO YUPO HAI NA AMEONEKANA AKIHUDHURIA MAZISHI YA NASSOR MARJEB HUKO UK!Pichani aliyevaa shati la drafti ni aliyekua mfalme wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya mwaka 1964 Sayyid Jamshid.
Hapo amehudhuria maziko ya marehemu Nassor Marjeb yaliyofanyika siku ya Ijumaa tarehe 29/07/2016 mijini Portsmouth Uingereza.
Marehemu alikua afisa mkuu wa upelelezi katika jeshi la polisi kabla na baada ya Mapinduzi na baadae alikimbilia Uingereza hadi kifo chake.

Mungu amlaze mahali pema peponi-Ameen!

No comments :

Post a Comment