Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Friday, August 26, 2016

KONGAMANO LA DIASPORA ZANZIBAR LAFANA!

Afisa Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Mohammed Nuhu akitowa maelezo wakati wa mkutano wa Kongamano la Tatu la Watanzania wanaoishi Nje Diaspora hutuma zinazotolewa na PBZ kwa Wananchi wa Ndani na Nje ya Nchi na jinsi ya kufaidika na huduma hizo. Kupitia PBZ.
Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora wakifuatilia Kongamano hilo katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, wakimsikiliza Afisa wa PBZ Masoko akitowa maelezo kwa Wanadiaspora hao vipi wanafaidika kutumia PBZ. wakiwa nje ya Zanzibar na Tanzania.
CANADA YAWAKILISHWA NA UJUMBE MZITO WA WANACHAMA 15 WA ZACADIA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA, ZANZIBAR!


No comments :

Post a Comment