Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Sunday, August 14, 2016

MUALIKO WA KUHUDHURIA KONGAMANO LA DIASPORA ZANZIBAR!

Aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete akifunga kongamano la 2014 mjini Dar Es Salaam.

Zanzibar-Canadian Diaspora Association (ZACADIA) inachukua nafasi hii kuwaomba Wazanzibari wote kutoka Canada waliopo nyumbani Zanzibar hivi sasa, kwa mapumziko ya summer, kuwa litakuwepo kongamano la Diaspora tarehe 24 mpaka 25 Augosti huko Zanzibar (Zanzibar Beach Resort).

Kama bado utakuwepo Zanzibar katika kipindi hicho basi jiandikishe hivi sasa ili upate kuhudhuria. 

Yapo mambo mengi kuhusu Wana-diaspora yatakayozungumzwa kwenye hili kongamano ambayo yatatugusa sote tunaoishi nje.

Kongamano litafunguliwa na Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohammed Shein na kufungwa na Rais wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli.

Kwa maelezo zaidi na kwa kujiandikisha tembelea website hii hapa chini: No comments :

Post a Comment