Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Tuesday, September 27, 2016

Rais Dk Shein atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Marine Hotel!


Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Azam Marine Hotel Abubakar Aziz Salim wakati alipotembelea ujenzi wa Hoteli ya Kisasa ya Azame marine iliyopo Mtoni Unguja leo akiwa na uyjumbe aliofuatana nao akiwa katika ziara maalum (wa tatu kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa.
[Picha na Ikulu.]26/09/2016.

 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Azam Marine Hotel Abubakar Aziz Salim (katikati) wakati alipotembelea ujenzi wa Hoteli ya Kisasa ya Azame Marine iliyopo Mtoni Unguja leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa katika ziara maalum (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa.
 [Picha na Ikulu.]26/09/2016.

 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa, baada ya kumaliza ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za kisasa huko Fumba Wilaya ya Magharibi na Ujenzi wa Hoteli ya Azam Marine  iliyopo Mtoni Unguja leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa katika ziara maalum.
[Picha na Ikulu.]26/09/2016.

No comments :

Post a Comment