dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 7, 2016

PICHA: Concept ya kijiji cha Yanga kitakavyokuwa Kigamboni!

Naambiwa hii ni concept ya ramani ya uwanja wa Yanga itakavyokuwa katika eneo la Geza Ulole Kigamboni. Source: Millard Ayo

Septemba 28, 2016 mwenyekiti wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Yusuph Manji aliamua kuigawia klabu hiyo eneo lenye ukubwa wa heka 715 lililopo Geza Ulole Kigamboni kwa ajili ya kujenga uwanja na kituo cha kukuzia vipaji.
Eneo hilo ambalo lilikabidhiwa na wasaidizi wa Manji mbele ya waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba na mama Fatma Karume lilipewa jina la ‘Kijiji cha Yanga‘, leo October 6 2016 wametoa picha ya wazo la muonekano wa juu wa kijiji hicho kitakapokamilika kitakavyokuwa kinaonekana.

No comments :

Post a Comment