dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 21, 2016

Rais Dk Shein azungumuza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo!


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/10 /2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/10 /2016.
Viongozi katika Wizara ya Viongozi katika Wizara ya habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakiwa katika kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 20/10 /2016.
Waziri wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma (katikati) akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Mshauri wa Waziri wa Habari Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis,[Picha na Ikulu.] 20/10 /2016.

Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Nd,Chande Omar Omar akitoa ufafanuzi kuhusiana na Vipindi vya Redio na TV katika Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC)wakati wa kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wakeRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kulia) Naibu Katibu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Dkt.Amina AmeirIssa,na (kushoto) Mkurugenzi wa Idara ya Sauti ya Tanzania Zanzibar Nd,Hassan Vuai, [Picha na Ikulu.] 20/10 /2016. 
Naibu katibu Mkuu Habari Nd,Hassan Mitawi akitoa maelezo wakati wa kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd,Omar Hassan Omar (kushoto)[Picha na Ikulu.] 20/10 /2016.

No comments :

Post a Comment