Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, October 6, 2016

WALIMU MAJANGIRI WA SHULE YA KUTWA MBEYA WAFUKUZWA KAZI NA WAZIRI!!!

WAZIRI NDALICHAKO AWATIMUA CHUO WALIMU WA MAFUNZO WALIOMPIGA MWANAFUNZI SHULE YA KUTWA MBEYA!



Hatimaye Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Ndalichako amewafukuza chuo walimu waliohusika na kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya kutwa Mbeya.

Mpaka sasa Mkuu wa Shule na baadhi ya walimu wamefikishwa katika kituo cha polisi kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo.

Chanzo: TBC, habari za mikoani

No comments :

Post a Comment