Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Tuesday, November 1, 2016

UKAWA YASHINDA UMEYA UBUNGO!

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob akizungumza baada ya kichaguliwa nafasi hiyo kushoto ni Naibu Meya wa manispaa hiyo Ramadhani Kwangaya na kulia ni mkurugenzi wa manispaa hiyo John Kayombo. (Picha na Loveness Bernard). Diwani wa Kata ya Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob ameshinda nafasi ya Umeya Manispaa ya Ubungo katika uchaguzi uliofanyika leo baada ya ule wa awali kuhairishwa. Amepata jumla ya kura 16 za UKAWA na Mgombea Wa CCM kura 2 huku Naibu Meya wa UKAWA akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3 za CCM.

No comments :

Post a Comment