Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza wakati wa kuzindua Kongamano la Wajasiriamali katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo.
Mratibu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Dkt.Afwa Mohamed akitoa hutuba fupi kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia katika hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Wajasiriamali Zanzibar katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo,ambalo lilizinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Meneja wa Tawi la DTB hapa Zanzibar Mbarouk Ramadhan Mbarouk katika hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Wajasiriamali Zanzibar katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Ofisa wa Taasisi ya 'Mchele Z'bar Foundation' hapa Zanzibar Eshe Haji Ramadhan katika hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Wajasiriamali Zanzibar katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo.
No comments :
Post a Comment