dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, December 1, 2016

Rais wa Zanzibar Dk Shein, Amuapisha Kaimu Jaji Mkuu Mhe. Mkusa Sepetu leo!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akimkabidhi hati ya kiapo Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu baada ya kumuapisha kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akipena mkono na Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu baada ya kumkabidhi hati ya kiapo  alipomuapisha kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Viongozi waliohudhuria  katika hafla ya kuapishwa Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar (kutoka kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi (kulia) akimpongeza Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu kwa kuteuliwa kwake kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla ya kiapo iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali ,[Picha na Ikulu.] 01/12/2016. 

No comments :

Post a Comment