dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, January 22, 2017

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Wambura Aongoza Mazoezi Uwanja wa Samora Iringa!

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (wa tatu kutka kushoto mwenye kikoi shingoni ) akizindua rasmi mazoezi ya viungo kwa mkoa wa Iringa kama agizo la serikali kila jumamosi ya pili ya ya mwezi wananchi wote kushiriki mazoezi ,kushoto kwake ni mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na kulia ni mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akifuatiwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza (PICHA ZOTE NA MATUKIODAIMABLOG

Katibu tawala wa mkoa wa Iringa Wamoja Ayub kulia akifurahia mazoezi kulia kwake ni mbunge Mwamoto na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza.

Afisa habari Manispaa ya Iringa Sima Bingieki wa kwanza kushoto akishiriki mazoezi leo uwanja wa samora
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa pili kulia akifurahia mazoezi na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Maasenza wa kwanza kulia

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya mazoezi na Dc Iringa Richard Kasesela
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura kulia akifanya mazoezi ya viungo na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati katika uwanja wa samora Iringa leo

Watumishi ofisi ya mkuu wa Mkoa na RPC Iringa wakiwa katika mazoezi

Baadhi ya wananchi wa mji wa Iringa wakiwa katika mazoezi leo kutoka uwanja wa samora kuelekea ofisi ya RC Iringa

Hivi ndivyo wananchi walivyoshiriki mazoezi Iringa

Wananchi walioshiriki mazoezi wakiwasili ofisi ya RC Iringa wakitokea Samora

Wananchi na viongozi walioshiriki mazoezi wakiingia viwanja vya RC Iringa

Kila mmoja afurahia mazoezi

Mazoezi kwa afya 

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya mazoezi na Dc Iringa Richard Kasesela,wa kwanza kushoto ni mkuu wa mkoa Iringa Amina Masenza ,mbunge wa viti wa maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati ,mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na katibu tawala mkoa wa Iringa wamoja Ayub

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akipongeza wananchi kwa kuitikia mazoezi ,katikati ni mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza na mkuu wa wilaya Iringa Richard Kasesela

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura mwenye kikoi shingoni akiongoza mazoezi Iringa leo

Mazoezi ya viungo kwa afya yakiendelea

Ni Full mazoezi Iringa

Diwani mstaafu wa Mtwivila Vitus Mushi katikati akishiri mazoezi

Mpiga picha maarufu Iringa Said Mnyalugendo kushoto akiwa katika mazoezi

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akiwa na kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji Bw Komba wakishiriki mazoezi leo

Mazoezi kila mmoja kwa afya

Askari wa FFU wakishiriki mazoezi

Wananchi walioshiriki mazoezi wakimsikiliza naibu waziri

Walioshiriki mazoezi wakitoka uwanja wa Samora kwa mazoezi kurudi ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa

Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kulia akifurahia mazoezi na kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji mkoa wa Iringa Bw Komba

Tupo safi askari polisi wakiwa katika mazoezi


mazoezi kutoka uwanja wa Samora Iringa kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa

Mazoezi kwa afya yanaweza saidia kupunguza magonjwa mbali mbali kama Kisukari

Shughuli nyingine zasimama kupisha mazoezi ya viugo Iringa


DC Kasesela akiongoza mazezi

Mazoezi safi





Askari polisi wakiwajibika kisawa sawa
watumishi ofisi ya RC Iringa Bw Shimwela akiwajibika na wenzake
Mbunge Mwamoto na mkuu wa mkoa Masenza wakifanya mazoezi
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza na mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto wakifurahia mazoezi
Mwenyekiti wa UWT Iringa vijijini Shakra Kiwanda na afisa ushiriki mkoa wa Iringa John Kiteve wakiwa katika mazoezi
Mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Kasesela akiwatazama viongozi wenzake wakiendelea na mazoezi uwanja wa Samora leo

No comments :

Post a Comment