AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, February 8, 2017

MABALOZI WAJITAMBULSHA KWA RAIS MAGUFULI!

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Mohamed Ben Mansour Al Malek Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Morocco Mhe Abdellah Benryane Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Zambia Mhe. Benson Keith Chali Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Cuba Mhe. Lucas Dominingo Hermandes Polledo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Cuba Mhe. Lucas Dominingo Hermandes Polledo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Iran Mhe Mousa Farhang Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017


PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment