Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutaja orodha ya baadhi ya wanaotuhumiwa kutumia na kuuza dawa za kulevya, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu leo February 4 amezungumza kuhusu askari wanatuhumiwa kujihusisha na uhalifu huo.
Amesema hatua kadhaa zimeshachukuliwa ikiwemo kuwasimamisha kazi Askari hao na wanaendelea na uchuguzi kwa watuhumiwa wengine wakiwemo watu maarufu waliotajwa ili kuthibitisha tuhuma zinazowakabili.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment