Nape Nnauye, aliyekuwa waziri wa habari, vijana, michezo na sanaa amefanya mkutano na waandishi wa habari nje ya Hoteli ya Protea akiwa juu ya gari, baada ya taarifa za awali kueleza kwamba Kamanda Mkuu wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, RPC Suzan Kaganda amepiga marufuku mkutano huo.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment