Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono
CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.
Sasa mzimu wa goli hilo unamtesa na Nape mwenyewe, hali ni mbaya. Tunamkaribisha sana CHADEMA aje tuikomboe nchi yetu.
Babu huyu ni mwanzilishi wa CHADEMA pale Bariadi Mjini
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment