Rais Magufuli, Machi 24, 2017 amewaapisha mawaziri wawili Dk Harrison Mwakwembe ambaye amekuwa Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo pamoja na Dr. Palamagamba Kabudi ambaye amekuwa Waziri Mpya wa Sheria na Katiba, uteuzi wao ulifanyika jana Machi 23, 2017. Nape Moses Nnauye ndiye aliyekuwa anashikilia wadhifa wa Waziri wa Habari.
Mawaziri hao, pamoja na Mabalozi wawili, akiwemo Dk Abdallah Saleh Possi ambaye amekuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini Ujerumani. Wateule wote na wengine wameapishwa Ikulu ya Magogoni, jijini Dar es Salaam.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment