dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, March 13, 2017

Yaliyojiri katika mkutano Mkuu wa CCM Dodoma jana hii!


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano Mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo Mkoani Dodoma,[Picha na Ikulu.]12/03/2017.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa katika Mkutano Mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo Mkoani Dodoma,[Picha na Ikulu.]12/03/2017.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika Mkutano Mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo Mkoani Dodoma,[Picha na Ikulu.]12/03/2017.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM wa Mkoa wa Mjini Unguja wakifuatilia kwa makini matamko na taarifa mbali mbali zilizotolewa katika mkutano huo uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.] 12/03/2017.


Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.] 12/03/2017.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.] 12/03/2017.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.] 12/03/2017.

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli(wa pili kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Philp Mangula(kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana wakifurahia mara walipoingia katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.] 12/03/2017.

Wake wa Viongozi wakuu wa Nchi wapeperusha Bendera na wakifurahia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM mara walipoingia katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.] 12/03/2017.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM wa Mikoa mbali mbali ya Bara na Visiwani wakimsikiliza Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.] 12/03/2017.



Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa mkutano Mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma.
[Picha na Ikulu.] 12/03/2017.

No comments :

Post a Comment