dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, April 26, 2017

Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba!

RAIS wa chama cha Soka zanzibar (ZFA) Ravia Idarous Faina akifungua mkutano mkuu wa ZFA uliofanyika Kisiwani Pemba, hivi karibuni na kuwafukuza Maalim Massoud Attai na Hussein Ali Ahmada.
WAJUMBE wa Mkutano mkuu wa ZFA Taifa wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo katika ukumbi wa uwanja wa michezo Gombani.
VIONGOZI wa Umoja wa Vilabu Zanzibar wakiw akatika picha ya pamoja, mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa ZFA Taifa Uliofanyika Kisiwani Pemba.
RAIS wa ZFA Ravia Idarous Faina akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa ZFA Taifa na Wilaya zake pamoja na viongozi wa umoja wa Vilabu.
VIONGOZI mbali mbali wa ZFA wakiwa katika picha za pamoja wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Ravia Idarous Faina, mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa Chama hicho uliofanyika Kisiwani Pemba.

Picha na Abdi Suleiman, Pemba

No comments :

Post a Comment