May 31, 2017 IGP Simon Sirro kwa mara ya kwanza amefanya Mkutano na Waandishi wa Habari siku mbili tangu kuapishwa na JPM kuchukuwa wadhifa huo ambapo amezunguzia mambo mbalimbali yakiwemo Usalama wa raia hasa wananchi wa Mkoa Pwani ambako kumekuwa na matukio ya mauaji.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment