Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, May 9, 2017

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI!



Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa waandishi wa habari na Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.


Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Jazaa Kombo katikati akiuliza maswali kwa Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd alipozungumza na Waandishi kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman akiuliza maswali kwa Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd alipozungumza na Waandishi kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
(PICHA NA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR).

No comments :

Post a Comment